HATUA 3 ZA KUFUATA ILI UWEZE KUANZA KUTUMIA MFUMO WA PEPMIS -MWONGOZO MAHUSUSI KWA WAAJIRIWA WAPYA
Je, wewe ni mwajiriwa mpya ambaye unahangaika kuhusu namna gani unaweza kuanza kutumia MFUMO wa PEPMIS? kama jibu lako ni ndiyo basi ondoa shaka kwa kuwa nimeandaa mongozo mahusis kwa ajili yako ambao unakuonesha hatua tatu muhimu za kufuata ili uweze kuanza kutumia Mfumo wa PEPMIS.
Anza kufuatilia hatua hizo hapa chini kupitia video zangu za You tube
Hatua ya 1: Jisajili kwenye ESS
Kama bado haujasajiliwa kwenye ESS Portal tafadhali angalia/ sikiliza maelezo yalipo kwenye video ifuatayo
Hatua ya 2: Hakiki Taarifa zako za Kiutumishi
Hatua ya 3: Andaa Mpango Mpango wako wa Kazi
Baada ya kukamilisha kufanya setting kwenye dashborad yako hatua inayofuata ni kuandaa mpango wako wa kazi ndani ya Mfumo wa PEPMIS. Utaratibu wa kuandaa Mapngo hutofautiana baina ya mtumishi aliyeko kwenye sehemu (section), Kitengo (Unit) na Work Satation (Kanda, Dereva, Sekretari n.k). Bofya kwenye video inayokuhusu hapo chini ili uweze kupata Mwongozo unakuhusu katika kuweka Mpango kazi wako
Ni matumai yngu kuwa umefanikiwa na sasa upo tayari kuanza kutoa taarifa za utekelezaji kwenye mfumo huo. Hakikisha unasubribe kwenye chanel hii pamoja na kubofya kitufe cha kengere ili uwe miongoni mwa watu ambao wanapata notification mara tu niwekapo video mpay. Aksante sana
Maoni
Chapisha Maoni