HATUA 3 ZA KUFUATA ILI UWEZE KUANZA KUTUMIA MFUMO WA PEPMIS -MWONGOZO MAHUSUSI KWA WAAJIRIWA WAPYA
Je, wewe ni mwajiriwa mpya ambaye unahangaika kuhusu namna gani unaweza kuanza kutumia MFUMO wa PEPMIS? kama jibu lako ni ndiyo basi ondoa shaka kwa kuwa nimeandaa mongozo mahusis kwa ajili yako ambao unakuonesha hatua tatu muhimu za kufuata ili uweze kuanza kutumia Mfumo wa PEPMIS. Anza kufuatilia hatua hizo hapa chini kupitia video zangu za You tube Hatua ya 1: Jisajili kwenye ESS Kama bado haujasajiliwa kwenye ESS Portal tafadhali angalia/ sikiliza maelezo yalipo kwenye video ifuatayo