ONLINE COURSE: MASTER QUANTITATIVE DATA ANALYSIS PROCESS WITH SPSS - A STEP- BY STEP GUIDE

"Unlock Your Potential with SPSS!"

Je, unataka kujifunza jinsi ya kufanya Data Analysis kwa kutumia Program ya SPSS lakini hujui wapi utapa fursa ya kujifunza kwa urahisi? 

Kama jibu lako ni ndiyo basi ondoa shaka. Platfom ya online ijulikanayo Kama Mwingira Street University imeandaa Mafunzo maalum kuhusu JINSI YA KUFANYA DATA ANALYSIS KWA KUTUMIA APPLICATION YA SPSS. 

Mafunzo hayo yatatolewa kwa njia ya mtandandao ambapo washiriki wataweza kuuhdhuria mafunzo hayo popote walipo na kwa muda wao. 

Kupitia mafunzo hayo nitakuonyesha hatua zote za muhimu katika kufanya data analysis kwa kutumia program ya SPSS ikiwa ni pamoja na kupewa application ya SPSS. 

Kupata maelezo ya kina kuhusu mafunzo hayo tafadhali angalia video hii hadi mwsiho na endapo utaridhia bofya link ya kujisajili na mafunzo hayo. 







BOFYA LIKI HII KUJISAJILI NA MAFUNZO HAYA

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HATUA 3 ZA KUFUATA ILI UWEZE KUANZA KUTUMIA MFUMO WA PEPMIS -MWONGOZO MAHUSUSI KWA WAAJIRIWA WAPYA